Staa wa filamu nchini Marekani, Will Smith hataki mchezo kabisa na kazi. Ameamua kumkata mtoto wake nywele ili tu afanye movie inavyotakiwa.
Will Smith amefanya uamuzi huo wa kumkata mtoto wake rasta Jaden Smith ambaye pia ni staa wa filamu Hollywood.
Filamu ya Life In A Year ina kisa cha uhusiano wa kimapenzi kati ya Jaden na Cara Delevingne.
Jaden anagundua mpenzi wake ana mwaka mmoja tu wa kuishi na anafanya analoweza kuhakikisha wanaishi kwa furaha na kufanya yote walioota kufanya. Filamu hiyo itaanza kutayarishwa Toronto, Canada.

Muonekano mpya wa Jaden