Mkuu wa Wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam Sophia Mjema ameagiza nyumba zaidi ya 200 zilizopo katika eneo la Majohe Jijini humo kubomolewa mara moja na kwamba serikali haitauhusika na malipo ya fidia yoyote,
"Wamiliki wa nyumba hizo ndio wanaotakiwa kufanya hivyo bila shurti" Alisisitiza
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI...
