Baada ya kuwa na Ripoti kadhaa kutoka kwa Wanasiasa na Wanaharakati mbalimbali kwamba uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Tanzania unaminywa na Serikali, Muungwana TV leo imezungumza na Mkuu wa Habari kutoka umoja wa Mataifa nchini Tanzania Stella Vuzo ameeleza hali ya uhuru wa vyombo vya habari nchi Tanzania ukilinganisha na Nchi nyengine duniani.
Alichojibu?, Ushauri wake? Anagali video hapo chini na usisahau Kushare na Kusbscribe Muungwana TV
Mei 2-3 itakuwa ni maadhimisho siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani ambapo kitaifa yatafanyika jijini Mwanza
