Walipo Akina Roma muda huu

Kwa mujibu wa mtandao wa cloudstv.

"Tulijaribu kuingia ndani kufahamu yanayoendelea. Hata hivyo walinzi wa Hospitali wametuamrisha kurudi nyuma.

Kulingana na yaliyotokea ni rahisi kuhisi kwamba washkaji zetu wameletwa hapa ili kupata vipimo vya kiafya (kubaini iwapo walidhuriwa au hapana).

Tumechagua kuvuta subra hadi hapo mamlaka zitakapotoa taarifa za uhakika."
Mpya zaidi Nzee zaidi