Watu 7 wafariki latika shambulizi mjini Mogadishu nchini Somalia
Watu zaidi ya 7 wameripotiwa kufariki katika shambulizi limelotokea mjini Mogadishu.
Watu hao wamefariki baada ya gari moja lilikuwa na vilipuzi kulipuka.
Taarifa zinafahamisha kuwa huenda idadi ya watu waliofarikia ikaonegezeka kutokana na ukubwa wa mlipuko hu ona idadi ya watu waliojeruhiwa.
Kundi la wanamgambo wa al shabaab linashukiwa kuendesha shambulizi hilo.