PICHA 16: Mapokezi ya Serengeti Boys wakitokea Gabon

 Timu ya Vijana wa Serengeti Boys wamerejea nchini Leo hii Majira ya Saa 8: 50 wakitokea Nchini Gabon walikokuwa wakishiriki michuona kufuzu kushiriki Kombe la Dunia kwa vijana wa Wenye umri chini ya miaka 17.

Vijna hao wamepolewa na Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na utamaduni Dkt Harisoni Mwakyembe.

TAZAMA PICHA ZAIDI HAPO CHINI, VIDEO NZIMA ITAKUJIA HIVI PUNDE