Raia 26 wauawa na wengine 32 wajeruhiwa katika ghasia Bangassu Jamhuri ya Afrika ya Kati
Watu 26 wafariki wakiwemo wanajeshi 6 wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika kitongoji cha Tokoyo .
Jeshi la Umoja wa Mataifa lilifaulu kuingia katika eneo hilo pamoja na misaada ya kÅŸutu ambapo raia zaidi ya 100 walikimbilia katika eneo hilo wakihofia maisha yao.
Raia hao wameripotia kufariki kutoka naa mashambulizi ambayo yanatuhumiwa kuendeshwa na kundi la anti-Balaka Jumanne.
Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na vyanzo vya habari katika eneo hilo, idadi ya watu waliofariki huenda ikaongezeka kutokana na hali ya majeruhi.