Baada ya kuwepo msuguano ndani klabu ya Simba Kuhusu mkataba wa SportsPesa na kupelekea baadhi ya Viongozi akiwemo Hans Pope kutishia kujiuzulu, Basi Muungwana Blog imeafanya Exclussive Interview na Shabiki mkereketwa wa Simba Sc wa Tangu 1972 Bi Zuena Matimbwa, ambapo ameichambua klabu hiyo na kumaliza "Natamani Viongozi wote waliopo kwasasa Waondoke, wamefuata pesa na sio mpira"
TAZAMA VIDEO NZIMA HAPO CHINI...
