Sakaya ameyasema hayo leo katika ofisi kuu ya CUF Buguruni na kwenda mbali zaidi kuwa chama cha Cuf kinasikitishwa na na kitendo walichofanya Chadema. Na kusema kuwa wako tayari kupambana na Chadema kwa namna yoyote ile.
Naibu katibu huyo ameviomba vyombo vya dola kuchukua hatua dhidi ya Chadema.
