Nyumbani Rais Magufuli Amwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania byMuungwana Blog 2 -9/11/2017 11:22:00 AM 0 RAIS Dkt. John Magufuli amemwapisha Prof. Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande. Facebook Twitter