VIDEO: Mfanyakazi wa Hospitali ajiunga kundi la Mkubwa na Wanawe

Katika hali isiyotarajiwa Meneja wa lebo ya Mkubwa na Wanawe inayosimamia wasanii nchini Tanzania Mkubwa Fella akiwa katika hospitali ya Amana Jijini Dar es salaam, alikutana na kijana mmoja ambaye ni mfanyakazi Hospitalini hapo na kumuomba msaada wa usimamizi wa kazi zake za muziki, ambapo Mkubwa Fella alimsikiliza na kumpa kazi hapo hapo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

Mpya zaidi Nzee zaidi