Agizo hizo la Mkuu wa wilaya Temeke Dsm, Felix Lyaniva limekuja kufuatia kuhusika na ufyekaji wa msitu wa Serikali baada ya kukamata magogo ya miti iliyokatwa katika bonde la msakala wilyani humo kwa idhini ya mtendaji wa mtaa na Mwenyekiti wa mtaa wa msakara jambo ambalo linadaiwa kuwa kinyume cha sheria.



