CHAMA cha wananchi CUF upande unaomuunga mkono Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad, kimesema kimefurahishwa na uamuzi wa Aliyekekuwa Mbungewa Kinondoni, Maulid Mtulia, kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CUF na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akiongea hii leo, Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha ambaye pia ni Kaimu Naibu Mkuu CUF Bara, Joran Bashange, amesema wamepokea habari hiyo kwa mshituko na pia wanampongeza kwa kuwa alikuwa upande wa Ibrahim Lipumba.
Pia amewaomba radhi wananchi wa jimbo la Kinondoni na amesema kuwa watajipanga na watawaletea mgombea mzuri zaidi ya huyo na kusema kuwa mapambano bado yanaendelea.
Sauti ya mahojiano na Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha ambaye pia ni Kaimu Naibu Mkuu CUF, Bara Joran Bashange.