Makamu wa Rais akipata maelezo kutoka kwa kikundi cha Walemavu kutoka Mwembe Makumbi kinachojishughulisha na kutengeneza viatu wakati alipotembelea maonyesho ya walemavu katika uwanja wa Skuli ya Uzini.
Kauli Mbiu ya siku hii ni “Mabadiliko kuelekea jamii jumuishi na maendeleo endelevu kwa wote.”

