Uingereza imewataka wananchi wake kutosafri kuelekea Nigeria hasa katika msimu huu wa sikukuu ya Noeli na mwaka mpya kutokana na mashambulizi ya hapa na pale yanayozidi kuendelea nchini humo
Uingereza imesema kuwa magaidi nchini Nigeria wametishai kufanya mashambulizi Abuja wakati huu wa sikukuu.
Kwa mujibu wa habari,wananchi vilevile wameshauriwa kuepuka kutembelea sehemu zenye watu wengi kama vile sehemu za kuabudu,masokoni,mahotelini na kadhalika.
Ripoti zinaonyesha kuwa kumekuwa na kesi nyingi za ukabaji na utekaji nchini Nigeria,
Uingereza imetoa tangazo hilo hasa baada ya Marekani kutoa tangazo kama hilo siku zilizopita.