Klabu ya Simba leo imemtangaza mfanyabiashara maarufu nchini Mohamed Dewji kuwa mshindi wa zabuni ya kununua hisa za Klabu hiyo ambapo sasa atamiliki asilimia 50 ya hisa huku asilimia 50 nyingine zikibaki kwa wanachama.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE