Kada wa CCM Asikitishwa Na Kifo Cha Mwanafunzi

Mwanasheria na kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Methusela Gwajima , ameelezea masikitiko yake kuhusu kifo cha mwanafunzi wa chuo cha Usafirishaji (NIT) Akwilin, aliyefariki kwa kupigwa Risasi na Polisi walio kuwa wakikabiliana na waandamanaji katika uchaguzi wa ubunge jimbo la Kinondoni.

Gwajima pia ametoa pole kwa wanafamilia wote ndugu na jamaa pamoja na wanafunzi wenzake waliokuwa wanasoma naye.

Aidha Gwajima , amelaani Maandamano yaliyopelekea kuuwawa kwa mwanafunzi huyo , kama alivyo andika katika ukurasa wake wa Instagram……..


Mpya zaidi Nzee zaidi