VIDEO: Makonda akangua jengo la Bakwata


Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amewacharukia baadhi waumini wa Kiislamu nchini waoponda  jitihada alizozifanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda  ya Kutafuta wadhamini ambao wanajenga Ofisi kuu za BAKWATA, na kusema kuwa hawana nafasi kwa wakati huu ambao waislamu wanahitaji maendeleo kuliko kuanza malumbano jambo ambalo kwa sasa halitapewa nafasi katika uongozi huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi