"Nawaomba watanzania wapenda amani wajiepushe na mpango wa watu wachache wa kuingiza nchi kwenye vurugu, ninachotaka kusema yeyote atakaeshindwa kuyapokea haya ninayosema asijutie kitakachomkuta" Lazaro Mambosasa, kamanda kanda maalumu Dar es salaam
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
