Hiki ndio Kikosi cha Al Masry kitakacho ikabili Simba SC


Wapinzani wa Simba SC katika michuano ya kombe la Shirikisho klabu ya Al-Masry imetangaza kikosi chake kitakacho shuka dimbani hii leo uwanja wa taifa kutafuta ushindi dhidi ya wenyeji wao hao wa Msimbazi.

1,A Maoud, 2,Shatta, 3,M Hamdi, 4,Koffi, 5,I Salah, 6,A mouusa, 7,F shawky, 8,A shokry, 9_Gomaa

10,Bance, 11,Grendo

Kikosi cha akiba

1,Mohmoud  Ellseyd, 2,Ahmed Gouda, 3,Abou Sheashaa, 4,Said Mourad ,5,Mostafa Marcelo

6,Isshofu Quattara, 7,Abdelnasser di maria
Mpya zaidi Nzee zaidi