Kikosi cha wanamaji nchini Libya kimefahamisha kuwaokoa wahamiaji haramu 237 katika fukwe zaa Ez Zaviye wakiwa katika mashua katika bahari ya Mediterania.
Kikosi hicho kilfaulu kuwaokoa wahamiaji hao baada ya kuona hitilafu katika mashua yao wakiwa safariini kuelekea barani Ulaya.
Kikosi hicho cha wanamaji kimefahamisha kuwa maboti mawili ya plastiki yaliotaka kuzama yalikuwa na wanawake 44 na watoto 7.
Raia wawili kutoka Bangladesh pia walikuwa miongoni mwa wahamiaji hao.