Mugabe acharuka, aitupia lawama Afrika Kusini

Robert Mugabe aliekuwa rais wa Zimbabwe aliitupia lawama Afrika Kusini kwa kutoingilia kati kutolewa kwake madarakani  Novemba mwaka 2017.

Rais Mugabe ametupia lawala Afrika Kusini baada ya kuondolewa madarakani  na jeshi kwa kusema kuwa Afrika Kusini ingeingilia kati kuzuia jambo hilo.

Taarifa hiyo imetolewa Jumamosi ambapo inafahamishwa kuwa hayo Robert Mugabe aliyazungumza katika hotuba aliotoa mwanzoni mwa Juma  mjini Harare. 

Kulingana na taarifa ni kwamba Mugabe alisema kuwa Afrika Kusini haikumbwa kutuma jeshi lake kuokoa utawala wake bali Afrika Kusini ingeingilia kati  kalungana na uwezo wake.

Mpya zaidi Nzee zaidi