F Times FM waomba radhi juu ya Interview waliyofanya na Diamond | Muungwana BLOG

Times FM waomba radhi juu ya Interview waliyofanya na Diamond

Kitu cha Radio, Times FM kimeomba radhi kufuatia mahojiano waliofanya na msanii Diamond Platnumz March 19 mwaka huu.