Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama ametoa wito kwa halmashauri za Wilaya zote nchini kuhakikisha wanajifunza mbinu za kuimarisha miundombinu
ya barabara ili kutengeneza mapito salama ya watoto wadogo hasa walemavu.
ya barabara ili kutengeneza mapito salama ya watoto wadogo hasa walemavu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.............USISAHAU KUSUBSCRIBE