VIDEO: Maalim Seif afunguka Waraka wa Maaskofu na Maadhimio ya CUF
byMuungwana Blog 1-
0
Taasisi za kidini hazina lengo la kuikosoa serikali bali pale zinapoona mambo hayoko sawa wanahaki ya kuzungumza, hivyo wasitafsiriwe kuwa taasisi za kidini zimejiingiza kwenye maswala ya kisiasa.
Ambapo Maalim Seif ameendele akusema kuwa amewaunga mkono na kutamani viongozi wa dini yake (BAKWATA) nao kusema.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE