VIDEO: MBOWE Anena Mazito, Azungumzia Amani ya Nchi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amehudhuria ibada leo katika kanisa la Azania Front ambapo alielezea amani ya Nchi pamoja na suala la haki huku akisema amekuwa jasiri.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi