VIDEO: Taifa Stars Yaivimbia Congo mbele ya Kocha Wao

Kocha msaidizi wa timu ya Taifa Stars, Hemed Morocco ametamba kuibuka na ushindi dhidi ya wageni Congo DR katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ambao upo kwenye kalenda ya FIFA.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi