"Tumewakamata viongozi wote wa vyama vya msingi 28 waliolipa malipo hewa kwa wakulima ambao hawajapima korosho na kuasababisha hasara zaidi ya shilingi milioni 395 pia akaunti zao binafsi za benki na za vyama hivyo tumezizuia na wakulima waliolipwa malipo hewa tunawatafuta" Gelasius Byakanwa Mkuu wa Mkoa Mtwara
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
