VIDEO: Wasanii walalamikia kutoshirikishwa na Waandaaji wa kumbukumbu ya Kanumba













Ikiwa ni miaka sita tangu kanumba aiage dunia kutoka na na kupisha kiswahili na rafiki yake wakike Elizabeth Michael (LULU) ambapo imesemekana alijigingwa na kuanguka chini ambapo alipofikishwa hospitali ya taifa ya muhimbili alikuwa ameshafariki, na rafiki yake huyo wa kike Kuhukumiwa na mahakama kwa kosa la kuua bila kukusudia leo  marehemu kanumba ametimiza miaka sita tangu afariki.

wasanii wa filamu tanzania walalamikia wandaaji kutoshirikishwa katika maandalizi ya kumbukumbu ya kumuenzi nguli wa Tasnia ya filamu Tanzania Marehemu Steven Kanumba, ili kubadilishana mawazo ambayo hiyo ingesaidia hata kuongeza wahudhuriaji wengi na ingeleta hata wahudhuriaji kutoka nje ya nchi ili kuitunza heshima yake, hayo yamesemwa na msanii Stanley Msungu leo katika makaburi ya kinondoni ambapo ndipo alipopumzishwa marehemu kanumba.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..............USISAHAU KUSUBSCRIBE........................

Mpya zaidi Nzee zaidi