Vumbi kali iliosababishwa na hali mbaya ya hewa na madaliko yake imeathiri kwa kiasi kikubwa ratiba za shule na kuwazuia wanafunzi kuhudhuria mashuleni.
Vumbi hiyo imepelekea shule katika eneo hilo kufungwa.
Taarifa zizlitolewa na kituo cha runinga zimesema kuwa shule zinazopatikana Tarib Kusini-Magharibi mwa Saudi Arabia zimmefungwa ikiwemo chuo kikuu cha el Baha. shule nyingi nchini humo zimefungwa kutokana na vumbi kali.