Bongo Deco ni duka la vifaa vya umeme kama TV, Home Theater, Friji aina mbalimbali na vingine vingi. Wapo Dar Es Salaam Magomeni Mapipa mtaa wa Idrissa. Kila bidhaa yao ina warranty na kikubwa zaidi ukinunua bidhaa kwao utapata usafiri bure hadi kwako. Wapigie 0658 18 47 97 au wafollow katika page yao ya Instagram @Bongodeco kuona bidhaa zao zote picha na bei ya kila friji.
Kupitia Bongo Deco unaweza pata friji kutoka makampuni ya Beko, Boss, Von HotPoint, Lg, MoElectro na mengine mengi.
Pia tunaruhusu kulipia kidogo kidogo kwa bidhaa yoyote utakayoipenda. Mfano Tv, fridge, washing machine, Music system, jiko, nk
Chochote ukipendacho ambacho unatamani kiwe sebleni kwako OR nyumbani kwako baasi kwaanzia sasa AMINI SOON KINAKUA MALI YAKO NA unakimiliki bila stress kwa mdogomdogo kinatua sebleni kwako free delivery bure mpaka home bila stress
Coz tunaruhusu kulipa kidogokidogo so Unanunua vitu bora na maisha yanaendelea.
Ni hivi.. tunakubali kulipa kidogokidogo unachagua unachotaka or unavyotaka tunakupa miezi miwili na utalipa kwa awamu nne tu malipo ya kwanza ni 50% then 50% inayobaki unamaliza ndani ya siku 60
Utalipa mara tatu ndani ya miezi miwili
Tv/fridges or music ya (laki sita) 600,000
Utalipa 50% ambayo ni -300,000 then 300,000 inayobaki utalipa ndani ya 2months (ndani ya siku 60) ukimaliza unachkua mzigo wako fresh unakua umefufua sebule yako bila stress unakamata kitu chako original & brand-new kwa instalment au mdogomdogo payment hii ni kwa bidhaa zote ruksa kulipa kidogo kidogo.
Sasa hapo ushindwe wewe tu.
Zifuatazo ni bei za friji na picha zake
Hizi ni baadhi ya bidhaa ambazo tumefanya delivery kwa wateja wetu.



































