Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi na Meya wa Manispaa hiyo Benjamini Sitta wamempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Pau Makonda kwa kitendo alichokifanya cha kuwakutanisha pamoja viongozi na watu mbalimbali katika Iftar maalumu jana jijini Dar es salaam.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI..... USISAHAU KUSUBSCRIBE
