
Ijumaa hii majira ya saa tisa Alasiri yamefanyika mazishi ya Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Mzee Rashidi Mkwachu katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali wa serikali na vyama vya siasa walihudhuria akiwemo, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa na Mizengo Pinda, Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na wengine.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE