VIDEO: "Steve Nyerere Anaweza kwenda mochwari kumuogesha maiti hata kama hajaitwa" - Dudubaya



Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ameingilia kati kuhusu maneno ambayo yamekuwa yakiibuka kuhusu Steve Nyerere kusemwa vibaya anapojitokeza kwenye matatizo kusaidia.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi