VIDEO: Yanga hali tete, Sanga OUT kisa kutishiwa maisha yeye na familia yake


Aliekua Makamu mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga leo Julai 23 ametangaza kuachia ngazi kufuatia hatua ya kile anachodai kutishiwa maisha yeye na familia yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi