Kanye West na Kim Kardashian wajenga bwawa la kuogelea

 MASTAA wasanii na wanamuziki wa Marekani, Kim Kardashian na mumewe Kanye West wanajenga bwawa la kuogelea katika “kijiji” chao cha familia kilichopo kando ya  jiji la Hidden Hills kwa ajili ya kujiliwaza nyakati za majira ya joto.

Picha hii inaonyesha mwanzo wa ujenzi huo kutokana na ruhusa ya jiji mwezi Juni mwaka huu.  Bwawa hilo litakuwa na upana wa mita 6 na urefu wa mita 18 na litagharimu Dola 50,000 (Sh. bil. 114)

Hali ilivyokuwa kabla ya uamuzi wa kujenga bwawa katika “kijiji” hicho cha familia.
Picha ya juu inaonyesha hatua ya mwisho-mwisho ya ujenzi huo ulipofikia hadi sasa.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items