STAA wa soka Paul Pogba ameiambia timu yake ya Manchester United kwamba anataka kuondoka na kujiunga na Barcelona. Amewaambia wachezaji na maofisa wa klabu hiyo kwamba anataka kuuzwa, miaka miwili baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Juventus ambapo timu yake ya sasa ilimnunua kwa kitita kilichovunja rekodi ya dunia cha Paundi mil. 89 (Sh. 262 bilioni).
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25, amemtumia pia ujumbe Ed Woodward, mwenyekiti mtendaji wa Man U, akimweleza nia yake ya kuondoka.
The midfielder has become disillusioned with life at Manchester United under Jose Mourinho
Hata hivyo, United wamesema hawamuuzi mchezaji huyo raia wa Ufaransa, ikiwa ni siku mbili tu kabla ya timu hiyo kucheza na Leicester katika fungua-dimba la ligi kuu ya Uingereza hapo kesho.