Rais Magufuli kufanya ziara mikoa saba kuanzia septemba 3
byMuungwana Blog 1-
0
Rais Dkt John Magufuli anatarajiwa kufanya ziara katika mikoa saba nchini kuanzia Septemba 3, 2018. Awamu ya kwanza ya ziara hiyo itahusisha mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu. Awamu ya pili ni mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe na Mbeya.