"Nilivunjwa mkono mwaka 2001 wakati nikitaka kuzungumza na wananchi kwenye mkutano ulioandaliwa na Mbunge nikihamasisha maandamano ya amani kudai uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2000 urudiwe, sisi tuko Tanzania Katibu mkuu wetu Maalim Seif yeye alienda kudai haki ya watanzania Ulaya, Wazanzibar wanakuwa wakimbizi yeye alikuwa Ulaya'' Prof. Lipumba.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE
