Mwanamuziki Daimond leo amempa ujumbe mzito mtoto wake Daylan aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye leo ni siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza mwaka mmoja.
Lakini katika hilo wasanii wengine wamejitokeza kuunga mkono kwa kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wa diamond ambapo ni pamoja na ndugu zake Diamond chakushangaza mama Mzazi wa msanii huyo alitupia mbali kwa kukaa kimya.
Kupitia ukrasa wake wa instagram daimond ameonyesha mahaba mazito mwanaye huyo na kumuandikia ujumbe huu
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE.................
