VIDEO: Wafanyabiashara wataka mkandarasi kung'atuka, Diwani urio awaahidi haya


Wafanyabiashara pamoja na Wakazi wa kunduchi wamemtaka mkandarasi anaetengeneza barabara ya soko hilo la tegetea nyuki kung'atuka kutokana na ujenzi wa barabara hiyo kwenda polepole ambapo imepelekea kuwapo na wateja wachache na baadhi ya shughuli za kijamii kushindwa kuendelea.

Hayo yameendelea leo jijini Dar es salaam katika ziara ya Diwani wa kata ya Kunduchi Michael Urio akiwa anatembelea baadhi ya miradi na kujua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa kata yake ambapo kufuatia malalamiko hayo Urio amewataka wananchi wake kutokuwa na hofu kutokana na mkandarasi kuwa tarai kashalipwa asilimia 15 za ujenzi huo, na kusisitiza kuwa watahakikisha ujenzi unaisha kwa muda uliopangwa.


TAZAMA FULL VIDEO..................USISAHAU KUSUBSCRIBE..................

Mpya zaidi Nzee zaidi