VIDEO: Simba yaokota mamilioni ya mdhamini mpya


Klabu ya soka ya Simba Sc, Jumatatu hii katika ukumbi wa hoteli ya Serena, imesaini mkataba na mdhamini mwingine mpya ambao ni wazalishaji wa kinywaji cha Mo Energy. Mkataba huo utadumu kwa mwaka mmoja. Kwa sasa Simba itakuwa na wadhamini wakubwa wawili akiwemo Sportpesa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items