VIDEO: Star wa Barcelona aula ukocha Tanzania atangazwa na Rais
byMuungwana Blog 5-
0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallace Karia leo Agost 6 amemtangaza Emmanuel Amuneke, star aliwahi kung'ara kikosi cha Barcelona kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE