VIDEO: TFF yafunguka sakata la ligi kuu kutimua vumbi bila mdhamini


Ofisa Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Borniface Wambura leo amefunguka kuhusiana na ligi kuu bara kuanza kutimua vumbi siku ya jumatano bila mdhamini huku akibainisha sababu kuwa ni kumalizika kwa mkataba wa mdhamin wa awali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Mpya zaidi Nzee zaidi