Wasemaji wa klabu kongwe za Simba na Yanga, Haji Manara na Dismas Ten wametambiana vikali Jumanne hii katika mkutano wao kuelekea mchezo wao wa Septemba 30, 2018. Katika mkutano huo Manara amesema siyo kuvunja viti tu kama mchezo siyo wa haki basi Yanga mpaka makofi watapigwa.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
