Shirikisho la soka nchini TFF kupitia kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura, wametangaza siku ya kuuza tikezi za mchezo wa Simba na Yanga ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki. Wambura amesema tiketi hizo zitaanza kuzwa Alhamisi hii ya Septemba 20, 2018 huku tayari bei ya tiketi hizo ilishatangazwa mapema kuwa ni shilingi 30,000, 20,000 na 7,000 kwa bei ya mwisho.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
