Chama cha Wananchi (CUF), kata ya Kwa Mnyamani, Buguruni jijini Dar es Salaam kimefanya sherehe baada ya aliyekuwa diwani wake kuhamia CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa chama hicho kata hiyo, Hamis Said amesema sababu ya kufanya sherehe hiyo ni kuondoka kwa diwani huyo Shukuru Dege aliyekuwa mzigo kwa kata hiyo na wananchi kwa ujumla.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
