Mrembo huyo ametumia mtandao wa Snapchart kuonyesha gari yake hiyo mpya aina Toyota Vanguard .
Hamisa ambaye ni mzazi mwenzie na Diamond Platnumz kwa sasa yupo nchini Marekani kwa ajili ya show akiwa na msanii muimbaji Christian Bella.
June mwaka huu Hamisa Mobetto alipewa nyumba na Diamond Platnumz kwa ajili ya mtoto wao, Daylan.