VIDEO: Waziri Mpina amvaa Mwekezaji wa kiwanda"Huyu ameiba vifaa vyetu"


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina ametembelea kiwanda cha Maziwa Utegi Mkoani Mara na kubaini baadhi ya madudu yanayofanyika na mwekezaji wa kiwanda hicho ikiwemo pia kupungua kwa mifugo kutoka 638 hadi 23.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items