BREAKING NEWS: Mahakama yamuachia huru Abdul Nondo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo leo Novemba, 5  baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha makosa mawili yaliyokuwa yanamkabili

Nondo alikuwa anakabiliwa  na mashtaka mawili; shitaka la kwanza ni kusambaza taarifa za uongo akiwa jijini Dar es Salaam kuwa ametekwa na kosa la pili ni kutoa taarifa za uongo akiwa mjini Mafinga kwa askari Polisi kituo cha Mafinga Wilayani Mufindi.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia